Kufanya wanafunziMafunzokwa makundi ya wafuasi wa Yesu
Jisajili BureKuwa zaidi kama Yesu... Pamoja
Maelezo ya Jumla
- Majadiliano ya Kikundi
- Kujiwezesha
- Mwenye Mazoezi
- 32 Dhana na Ujuzi
- Saa 20 za Mafunzo
Bure. Wakati wowote. Popote.
Pata ufahamu katika...
Kuwa Mwanafunzi
- Mwanafunzi ni nini?
- Kanisa ni nini?
- Funguo za Ukuaji wa Kiroho
- Funzo la Biblia la Kibinafsi
- Maisha ya Maombi yenye Nguvu
- Nguvu ya Imani yenye Utiifu
Kufanya Wanafunzi
- Kushiriki Hadithi ya Mungu
- Kusimulia Hadithi Yako
- Watafutaji Kushirikisha
- Kuzidisha kwa Utumaji wa Maono
- Kuongoza Kanisa Rahisi
- Kufundisha Wengine
Watu wa Kawaida. Hatua Rahisi.
Inavyofanya kazi
Usajili Bila Malipo hukupa ufikiaji kamili wa nyenzo zote za mafunzo na mafunzo ya mtandaoni.
Video za Maelekezo husaidia kikundi chako kuelewa kanuni za msingi za kuzidisha wanafunzi.
Majadiliano ya Kikundi husaidia kikundi chako kufikiria kile kinachoshirikiwa.
Mazoezi Rahisi husaidia kikundi chako kuweka kile unachojifunza katika vitendo.
Changamoto za Kipindi husaidia kikundi chako kuendelea kujifunza na kukua kati ya vipindi.
Unda mafunzo yako mwenyewe
Kusanya marafiki wachache au pitia kozi na kikundi kidogo kilichopo. Unda kikundi chako cha mafunzo na ufuatilie maendeleo yako.
UndaJiunge na mafunzo
Iwapo huwezi kukusanya kikundi kwa sasa, zingatia kujiunga na mojawapo ya vikundi vyetu vya mafunzo mtandaoni vinavyoongozwa na kocha mwenye uzoefu wa Zúme.
JiungeOmba kocha
Tunaweza kukuunganisha na kocha wa Zúme bila malipo ambaye amejitolea kukusaidia kuelewa mafunzo na kuwa mfuasi mwenye matunda.
Pata msaadaWatu halisi ... hadithi za kweli.

Zúme = Chachu
Zume humaanisha chachu kwa Kigiriki.Katika Mathayo 13:33,Yesu ananukuliwa akisema,Ufalme wa Mungu ni kama mwanamke aliyechukuwa chachu na kuichanganya na unga mwingi hadi ukawa uchachuka.Mfano huu unatuonyesha jinsi watu wa kawaida,hutumia rasilimali za kawaida,kunaweza kuwa na matokeo yasio ya kawaida kwa ufalme wa Mungu.Lengo la Zume ni kuwapa na kuwatia nguvu waumini wa kawaida kujichanga ulimwenguni kwa kuongeza wanafunzi katika kizazi chetu.